Clouds Fm 🇹🇿
@cloudsfmtz

Clouds Fm 🇹🇿 (@cloudsfmtz) Instagram photo 2017-04-10 05:34:06

Mimba mashuleni tatizo sugu Busega. | TAKWIMU zinaonesha kuwa takribani wanafunzi 15 hadi 18 wa kike kati ya 40 wanaojiunga na kidato cha kwanza wilayani Busega mkoani Simiyu kila mwaka hukatisha masomo kwa sababu ya ujauzito. Mbunge wa Busega Dk. Raphael Chegeni (CCM), alibainisha hayo katika mahojiano na mwandishi wa habari hii yaliyohusu masuala mbalimbali ya kimaendeleo jimboni humo, ikiwa ni pamoja na kutaka kujua hali ya elimu. Dk. Chegeni alisema kuwa kati ya wanafunzi wa kike 40 wanaoandikishwa kuanza kidato cha kwanza kila mwaka, takribani wanafunzi 15 hadi 18, wamekuwa wakikatisha masomo yao kwa sababu za ujauzito. “Jambo hilo ndilo linalofanywa mtoto wa kike ashindwe kufikia malengo aliyojiwekea maishani mwake,” alisema Katika kukabiliana na suala hilo, mbunge huyo alisema ameamua kuanzisha mkakati kabambe wa utekelezaji wa ujenzi wa hosteli za wasichana katika shule zilizoko pembezoni mwa jimbo hilo, ili kuwanusuru watoto hao wa kike. #JamboLeo

15 Comment

@benny_thebos Instagram Profile 1 year ago

@benny_thebos
KWA MAHITAJI YA PHOTOSHOOT AU GRAPHICS DESIGN NI FOLLOW @NIBRETSHMURDA @NIBRETSHMURDA2

@mapichajr Instagram Profile 1 year ago

@mapichajr
ok

@mapichajr Instagram Profile 1 year ago

@mapichajr
ok

@mapichajr Instagram Profile 1 year ago

@mapichajr
kwel

@mapichajr Instagram Profile 1 year ago

@mapichajr
kabsa

@silver_classic1 Instagram Profile 1 year ago

@silver_classic1
Safi kila La heri #mweshimiwa

@jozey_guchatz Instagram Profile 1 year ago

@jozey_guchatz
Aisee

@arabianqueen55 Instagram Profile 1 year ago

@arabianqueen55
Wakiwa hostel hawatopata mimba 🤔, seriously?

@balozi_255 Instagram Profile 1 year ago

@balozi_255
Aibu

@diamondplatnumz_kigoma Instagram Profile 1 year ago

@diamondplatnumz_kigoma
TANZANIA MMEKWENDA NJE YA MISINGI MLIYOIJENGA NA KUINGIAZA HABARI ZA HAKI ZA BINADAM KWENY ELIMU. MTOTO AKIPATA MIMBA RUKSA KUENDELEA NA SHULE, TENA ANAPIGANIWA AENDELEE NA SHULE. SO MABINT HAWANA UOGA WA KUWAZIA KUPOTEZA NAFAS SHULEN. ZO WANABEBAIMNA NA WANAMATUMAIN WATARUDI SHULE

@meek_hamic Instagram Profile 1 year ago

@meek_hamic
Pipe zinawanogea haswaaa lika ilo la kidato cha 3 na nne

@hammisamobetto_ Instagram Profile 1 year ago

@hammisamobetto_
Ok

@hammisamobetto_ Instagram Profile 1 year ago

@hammisamobetto_
Nice

@sailubanga Instagram Profile 1 year ago

@sailubanga
Busega hakuna bweni au shule ya serikali yenye bweni .