Noizmekah Production Studios
@noizmekah

ID: 3027233614

🎵Noizmekah Production Studios
📩noizmekah@gmail.com
Studio A: @defxtro
Studio B: @lickytouchez

Noizmekah Production Studios (@noizmekah) Medias

Noizmekah Production Studios (@noizmekah) Instagram photo 1 month  ago

1 month ago
#Tangazo #KwaWasanii #KwaWadau #MuzikiWaKizaziKipya #MkoaWaArusha Usikose kuhuDhuria kikao/mkutano wa ARUMUN (Arusha Urban Music Network) ukumbi wa Police Officers Mess Arusha Siku ya Jumamosi Tarehe 20 mwezi huu April 2019 #Muda : Saa saba hadi Kumi kamili Jioni #Wageni : Maafisa Utamaduni Mkoa, Wilaya, na Afisa toka BASATA kanda Kaskazini #Mada : 1. HISTORIA NA MAELEZO YA “CHAMUA” KUWA “ARUMUN”, MAELEKEZO YA BASATA NA USAJILI WA MTANDAO “ARUMUN”. 2. TAARIFA YA UONGOZI WA MPITO, KATIBA YA MTANDAO WA “ARUMUN” NA UPATIKANAJI WA NAKALA DIJITALI ZA KATIBA. 6. TAARIFA YA USAJILI KUKAMILIKA BARAZA LA SANAA, CHETI NA KIBALI KUWASILI OFISI YA UTAMADUNI ARUSHA KUTOKA BASATA NA KUKABIDHIWA RASMI KWA UONGOZI MPITO WA “ARUMUN”. 7. TAARIFA YA AKAUNTI YA BENKI KWA JINA “ARUMUN” KUSAJILIWA 8. MCHAKATO WA KUUNDWA KWA KANZIDATA YA ARUMUN NA VIGEZO PAMOJA NA UTARATIBU WA WASANII NA WADAU KUJIUNGA KATIKA MTANDAO WA “ARUMUN”. 9. MASWALI NA MAONI KUTOKA KWA WASANII NA WADAU NA MAJIBU TOKA MEZA KUU KUHUSU MTANDAO WA “ARUMUN" Tafadhali Fika bila kukosa na pia Sambaza ujumbe huu kwa msanii mwenzako/Wadau wa Muziki wa Kizazi Kipya Mkoa wa Arusha #ARUMUN #UmojaWetuMuzikiWetu

Noizmekah Production Studios (@noizmekah) Instagram photo 2 months  ago

2 months ago
HERE IS A SNIPPET FOR ONE OF THE HOTTEST SONGS IN "CHALII WA HOME" ALBUM BY; BRUKY THE EMCEE. TO GET THE FULL SONG AND THE ALBUM PLEASE DM ME. ALBUM PRICE: TZS.10,000 ONLY.